Jinsi ya kuagiza? (Mavazi ya mtindo na vifaa.)Chagua bidhaa zako kwenye ukurasa wetu au tutumie picha za uchaguzi wako.Je, unajua kuwa unaweza pia kuagiza kwa Shein?Tutumie viungo kupitia Whatsapp au Facebook.Tunathibitisha upatikanaji na kuanza kuagiza.Lipa kisha tunaanzisha agizo.Muddu ni siku 3 hadi 5.